Mbunge wa Ilala (CCM) Musa Zungu amekanusha kuwa alikamatwa na rushwa na kusema alikuwa akiwachangia hela ya nauli wajumbe hao na si rushwa
Zungu amesema kuwa huo ni mchezo mchafu unaochezwa dhidi yake na wabunge wa Kigoma na Dar es Salaam kwa lengo la kumchafua, licha ya kesi hiyo kuingia mikononi mwa TAKUKURU
Source: Star TV