WAZIRI TIBAIJUKA AZINDUA NYUMBA 48 ZA NHC JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akifunua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba 48 za kuuza za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Ilala Mchikichini, Dar es Salaam jana.Anayeongoza kupiga makofi kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kulia), akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Profesa Tibaijuka kuzindua mradi huo.
                        Waziri Tibaijuka akihutubiwa wakati wa hafla hiyo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli  akihutubia
                                              Profesa Tibaijuka akikagua ujenzi huo
                                           Moja ya majengo yanayojengwa eneo hilo
                               Baadhi ya wageni waalikwa
                      Baadhi ya majengo yanayoendelea kujengwa eneo hilo

 Profesa Tibaijuka akiwa na menejimenti ya NHC


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo