UJENZI WA CHOO CHA SOKO LA MAKETE WAENDELEA VIZURI

Hiki ndio choo kipya cha soko la Makete mjini kikiendelea kujengwa kwa haraka kutokana na choo walichokuwa wakikitumia awali kikiwa kimejaa. Picha na maketeyetu.blogspot.com


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo