Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na waombolezaji nyumbani kwa Marehemu Lucy Adam Samilah Mtaa wa Haile Selassie jijini Arusha leo |
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Lucy Adam Samilah likiwasili katika makaburi ya Njiro kwa mazishi |
Baba Mchungaji akiongoza maombi ya mazishi
Jeneza likiteremshwa kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu vha maombolezo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu |
Waombolezaji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini
Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini