RAIS JK AWASILI DODOMA HII LEO

Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo mchana. (Picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinji Dodoma ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa CCM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo