Akiongea akiwa studio za Channel ten mwenyekiti wa CUF taifa Mzee Lipumba amewasihi waislam kesho wasiandamane mara baada ya kuswali swala ya Ijumaa.
Amesema haki ya kuandamana ni haki ya kikatiba lakini inaonekana haki hiyo inapokonywa na watawala.
“Nawasihi Waislam mara baada ya salatjumaa(sijui kama nimeitamka sawasawa) watulie waendelee na shughuli zao sisi tunafuatilia mipango ya dhamana” alisema Lipumba akiwabembeleza kwa Unyeyekevu Waislam.
Na wotepamoja.com