Bwana harusi, Godfrey Monyo akiwa na Bi. harusi, Gadiosa Lamte wakiwa katika kanisa la Mt. Petro jioni hii wakati wa ibada ya ndoa takatifu
Bwana harusi Godfrey Monyo akila kiapo
Bibi harusi akila kiapo
Pokea pete ya ndoa
Mpiganaji Noeli Kapanda akimpongeza bwana harusi
Picha ya pamoja na wapambe
Picha ya wazazi na maharusi
Maharusi wakiwa na furaha tele
SHUKRAN KWA HABARI MSETO BLOG KWA TAARIFA HII