HEMED PHD AFUNGUKA KUHUSU DENI TUHUMA ZA KUDAIWA HELA NYINGI


Msanii wa Bongo Fleva na Bongo Movie almaarufu kama PHD au Hemed,kama unakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na tetesi za hapa na pale kwamba siku hizi ana tabia ya kuingia katika maduka ya nguo hasa ya Kinondoni na kuchukua nguo bila kulipa,sasa leo amekanusha na kusema habari hizo si za kweli ni story tu,kwani yeye anapoenda katika duka mara nyingi anahakikisha lazima atoe kiasi cha pesa ndipo aweze kuondoka na nguo hizo.Baada ya kusema hivyo alimalizia kwa kusema kwamba angependa kuona mtu anaandika habari nzuri kuliko kuandika habari ambayo sio sahihi@info kamili by Hemed


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo