Mkuu wa Wilaya ya Muheza pamoja na Jeshi la Polisi la mkoani Tanga
limetangaza kuwa baadhi ya vitu vya marehemu Sharo Millionea ambavyo
alivyopata navyo ajali vimepatikana.
Vitu hivyo ambayo na pamoja na
Simu.Battery ya Gari,Viatu,T-shirt,Jeans,Pete,Cheni na Tairi moja ya
gari. Vitu hivyo vimerudishwa na polisi jamii ambao ni wazazi wa wezi
hao.
Aidha pamoja na vitu hivyo kupatikana Jeshi la Polisi bado
linaendelea kufanya msako wa kuwapata hao vijana ambao ndio wanasadikika
kuwa ndio wezi wenyewe.