UVCCM WATWANGANA MAKONDE WAKATI WA KUMPOKEA MWENYEKITI MPYA DAR


Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM, wamechapana makonde wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti mpya wa umoja huo.

Tafrani hiyo imetokea leo katika Makao Makuu ya UVCCM, ambapo moja ya makundi ambayo hayakubaliani na ushindi wa mwenyekiti huyo mpya walikwenda na mabango yanayompinga.

Ndipo kasheshe ikaanza kwa kupigana. Pia indaiwa kuwa mapokezi hayo yalidorora kwa vile asilimia kubwa ya viongozi waliomaliza muda hawakujitokeza kumpokea kiongozi huyo mpya.
Na kamanda wa matukio Blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo