MADEE AKANUSHA KUJITOA TIPTOP CONNECTIONS

Baada ya kuzuka story mbili tatu katika mitandano ya mbalimbali kuanzia blog mpaka website na kusema kwamba mtu mzima" Madee alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo  lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni na kudaiwa kujitoa katika kundi hilo.

Baada ya kuandikwa hivyo na kusemekana kwamba Madee amejitoa TIPTOP kusema kweli sio kitu kizuri kama hiki kuandika story ya uongo lakini mimi nikaamua ngoja nimpigie simu ili aniambie sababu za kujitoa TIPTOP.

Madee alisema kwamba hii story sio za kweli "kwani kuna baadhi ya blog zinapenda kuandika habari za uongo ili wajipatie umaarufu katika blog zao mimi naomba waache hiyo tabiaa!!!!!@Madee

Na djfetty blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo