Basi hili nililipanda kutoka Iringa hadi Morogoro, limebandikwa karatasi maalum lenye kuonesha namba za askari wa usalama barabarani katika mikoa mbalimbali, hii imenifurahisha sana kwani mabasi mengi hayana na hii ni changamoto kubwa
Kutoka kulia Abbas, Jumanne Juma wote ni watangazaji wa Nuru Fm Iringa na Veronica Mtauka kutoka Kitulo Fm Makete wakiwa kwenye kituo cha mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro
Hapa ni Jumanne Juma kutoka Nuru FM na mmiliki wa mtandao huu Edwin Moshi (kulia)kutoka Kitulo Fm tukiwa Msamvu Morogoro
Morogoro
Hapa ndipo tulipofikia