Balozi Profesa Mahalu akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kushinda kesi yake katika mahakama ya
kisutu leo.
Wakili wa Balozi Profesa Mahalu Bw. Alex
Mgongolwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mteja wake
kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili kwenye mahakama ya Kisutu jijini
Dar es salaam.
Balozi
Profesa Mahalu katikati akitoka nje ya mahakama ya Kisutu huku akiwa
ameongozana na mdogo wake Mirasi Rama kulia ni Wakili wa kujitegemea
Mabere Nyaucho Marando.
Picha zote kwa hisani ya fullshangwe blog


