Hivi karibuni barabara ya makete Njombe eneo la mabehewani liliwekwa matuta kama njia ya kudhibiti mwendo kasi wa magari na pikipiki, pichani ni mimi mwenyewe nikishiriki zoezi hilo la kuweka matuta
Tatu Sijaona mtangazaji wa Kitulo Fm akionesha ishara ya chama fulani cha siasa, dizaini kama "Mh. halima Mdee hivi"