SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba

UNAKARIBISHWA katika mfululizo wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zinazofanyika kila siku ya Jumatano, ambapo wiki hii mwanaharakati, na mmoja wa viongozi wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba/TCIB atawasilisha mada juu ya mchakato wa Katiba Mpya.

MADA: Mchakato wa Katiba Mpya:Je, Masuala ya Wanawake na Makundi Yaliyoko Pembezoni Yatabebwa? 

Lini: Jumatano Tarehe 30 Mei, 2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo