Baadhi ya Wageni waalikwa ambao miongoni mwao ni Masupa Star walioshuhudia uzinduzi wa Filamu ya ‘Supa Star’ ya Wema Sepetu.
Warembo walivunja makabati.
Wageni wakishuhudia burudani kutoka THT.
THT wakipamba usiku wa uzinduzi wa filamu ya ‘SUPA STAR’ ya Wema Sepetu.
Mr. & Mrs looking fabulous. 
Wema Sepetu na Marafiki wa karibu wakati wa uzinduzi wa filamu yake.
It’s Movie time.
Snap shot kutoka kwenye Movie ya Wema Sepetu.
Vijana watanashati.
Zainul Mzige na Mrembo Belina Mgeni.
Bongo Movie na Swagga.
PICHA KWA HISANI YA MO BLOG