VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA KWA HISA VYAWA MSAADA MKUBWA MAKETE

 Mmoja wa mwanakikundi akipokea fedha zake alizowekeza katika kikundi chake
 Wanakikundi wa kikundi kiitwacho FUMAUMA

 Wanakikundi wa Tupendane

 Wanakikundi cha Muungano

 Wanakikundi cha Tujikwamue

 Wanakikundi cha Juhudi

 Wanakikundi cha Faraja

 Mwanakikundi James Chaula akikabidhi risala kwa mgeni rasmi

 Hapa James akisoma risala

 Mratibu wa program ya pamoja Tuwalee Mch. Ezekiel Sanga akiongea na wanakikundi

 Mwakilishi wa mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Makete Mwl. Thomas Mwenda akiongea na wanakikundi



 hapa wanakikundi hao wakipokea fedha zao

Mgeni rasmi ambaye ni Msaidizi wa askofu wa dayosisi ya kusini kati Mch. Kahuka akitoa hotuba yake


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo