Na Kenneth Ngelesi,Mbeya
MWANADADA Bertha Metson kutoka chuo kikuu cha Tumaini cha mjini Iringa juzi alivishwa taji la kuwa Miss wa nyana za juu kusin kwa tasisi ya elimu wa juu (Miss Southern highland Inter Colle) 2012-2013 na kujinyakulia zawadi ya Laptop yenye damani ya shilingi 700,000/ na fedha tasilimu 50,000/ baada ya kuibuka mshindi na kuwabwaga wenzake 11 walikuwa katika kinyang'anyiro
Mwanadada huyo alivishwa taji hilo katika ukumbi wa Benjamini Mkapa uliopo eneo la Sokomatola na kushirikisha warembo 12 kutoka katika vyuo vinne tofauti vilivopo katika mikoa ya nyanda za juu kusini ambayo ni Iringa ni Tumain, Mkwawa na Ruco na Mbeya ilikuwa na wawakilishi kutoka chuo cha TEKU na Chuo cha Uhasibu (T.I.A) na mwakilishi mmoja aliktoka mkoani Ruvuma katika chuo cha ualimu Matogoro.
Katika kinyang'anyiro chuo cha Tumaini walingara zaidi hata nafasi ya pili ilichuliwa na mwanafunzi kutoka chuo hicho Sadra Brown aliye zawadiwa jumla ya shilingi 300,0000/ na nafasi ya tatu ilkwenda kwa chuo cha Theofilo Kkisanji Univasity (TEKU) Rahima Gege alieondoka na kitikita cha shilingi 250,000/
Mshindi huyo alivishwa taji hilo na mrembo wa mwaka jana Grace Nyala kutoka chuo cha Teki aliyekuwa analishilikia kwa mwaka 2011-2012 na zawadi kwa washindi zilitolewa na mkugenzi wa kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vifaa vya kupyuta ya Access Samweli Mtela alitoa shilingi 100,000/ kila mshiriki katika kimnyang'anyiro hicho kama kifuta jasho cha ushiriki
Akizungmza na Tanzania Daima mara baada ya kuvishwa taji hilo mrembo huyo alisema kuwa kuna kila sababau ya kupinga dhana potofu iliyo jengmwa ja kwa jamiii kwamba urembo umekuwa ulkitasriwa kama ni unhuini.
Alisema kuwa urembo ni kama michezo mingine mpira, riadha,na mingine mingi hivyo inahitaji kuungwa mkono na wana jamii wote kwani warembo wengi wamekuwa wakijihusisha na shughuli za kijamii hasa katika kuwasadia watoto yatima na wanoshi ktrika mazingira magumu na hatarishi.
Naye mkugenzi wa kampuni ya Access wadhamini na watoaji wa zaadi zote Samweli Mtela alipongeza hartua ya warembo hao kujnitokeza na kushiriki shindano hilo kwani licha tafsiri mbaya za tasnia hiyo katika jamii lakini wao walipuuza na kuamua kushiriki.
Alisema kuwa kampuni yake ipo pamoja nayo na kwamba kudhamini mashinbdano ni moja ya sehemu ya mikakati yao ya kurudisha sehemu ya faida wanayo ipata kwa jamii, na hata hivyo alisema kuwa wato kwa ajili ya shughuli za kijamii hivyo ni fursa kwa wadau mbalimbali kuitumia kwa wana Mbeya hasa wanapokuwa na uhitaji wowote katika shughuli kama hizo. |
|