BREAKINGNEWSsssssssssss MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI MHE. LEMA SI MBUNGE TENA

Taarifa za uhakika zilizotua hivi punde katika mtandao huu kutoka mkoani Arusha zinadai kuwa mahakama kuu kanda ya Arusha imetoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo katika jimbo la Arusha Mjini na kuteungua ubunge wambunge wa jimbo hilo Godbless Lema .

Hivyo kwa sasa jimbo hilo halina mbunge baada ya mbunge wake Lema kushindwa kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2010.

STORI ZAIDI FUATILIA MTANDAO HUU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo