MAKETE IRINGA
JUMLA YA WALIMU 17 KUTOKA KATIKA SHULE ZA MSINGI 34 WILAYANI MAKETE MKOANI IRINGA WAMEPEWA MAFUNZO YA AFYA N A MAZINGIRA MASHULENI
AKIFUNGUA MAFUNZO HAYO LEO KATIKA UKIMBI WA MTC TANDALA AFISA ELIMU WA MKOA WA IRINGA BW JOSEPH MNYIKAMBA AMSEMA USAFI WA MAZINGIRA UNATAKA KILA MWANACHAMA KUFIKISHA ASILIMIA 50 MASHULENI
KWAUPANDE WAKE MRATIBU WA HUDUMA YA MAJI,AFYA NA USAFI WA MAZINGIRA SHULENI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO BI THERESIA KUIWITE AMESEMA MAKETE INAJENGA VYOO 17 NA MIUNDO MBINU YA MAJI.
CONRADI MPILA