Prof.Ibrahimu Haruna Lipumba amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Uchumi Duniani. Haikuwa kazi rahisi mpaka wazungu kumkubali na kumpa cheo hicho cha uenyekiti hii ilitokana na kumkubali kutokana na kuwa na uwezo mkubwa katika kuchanganua mambo yanayohusu uchumi wa dunia nini kifanyike katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei kila kona duniani. Katika mapokezi yake hapa Tanzania, jijini Dar es Salaam leo hii pande zote za nchi za Afrika zilituma wawakilishi wao katika kujumuika pamoja na watanzania katika kumpokea na kumpongeza Prof.Lipumba kwa kuchaguliwa kwake. Hali ni tofauti kabisa hapa Tanzania kwani imekuwa ya kisiasa zaidi huku wakiachiwa wafuasi wa CUF wakijazana uwanja wa ndege. Je tutafika? | ||
By
Unknown
at
Sunday, March 11, 2012