
Msanii Rich Mvoko Amesema licha ya ugeni katika mziki wa kizazi kipya amesema mwaka huu ambao kwake unagawanyika kwa mbili atafanya vyema katika kazi zake zijazo.
Rich amesema mara baada ya kuachia kazi yake ya kwanza lakini amepata mafanikio makubwa hiyo ni ishara nzuri kwake na amejipanga kufanya makubwa zaidi katika kazi zake zijazo..aliongeza mpaka sasa msanii ambaye anamuumiza kichwa ni Diamond na sababu amesema ni kutoakana na msanii huyo kuwa na style ya kivyake vyake na anakubalika sana..
Na Pro 24