Hapa tukiwa tunaweka studio sawa baada ya oparesheni tokomeza magonjwa Kitulo Fm
Elly Babu akiuza sura baada ya kazi nzito
Hapa nikipata maelekezo kutoka kwa wenzangu
Studio ya Kitulo Fm baada ya Mng`ao
Baada ya kazi kikafuata kikao cha tathmini ya watangazaji wote
Aldo Sanga akifuatilia kwa makini kikao cha tathmini







