ENEO HILO KOROFI PAMOJA NA MAENEO MENGINE UKARABATI UNAENDELEA KUHAKIKISHA MAENEO HAYO YANAPITIKA, NA UJENZI HUO UNAENDELEA CHINI YA TANROADS IRINGA, NA IKUMBUKWE KUWA MAKAMU WA RAIS DK MOHAMED GHARIB BILAL AMBAYE ATAFANYA ZIARA WILAYANI MAKETE 27/02/2012 ATAPITA BARABARA HII