Nyota wa muziki wa kizazi kipya Aman Temba kutoka Tmk wanaume Family aelezea kisa kilichomfanya ashindwe kurekodi video ,wa ni wewe wimbo ambao alishirikiswa na mwanamuziki Bibi Cheka,Sababu kubwa alisema kuwa ni kutokana na kutapika mfulululizo kutokana na harufu ya damu ya binaadamu ambayo ilikuwa ikinuka katika gari la kubebea wagonjwa,ambapo kuna vipande alitakiwa kuvirekodi katika gari ya kubebea wagonjwa.
inasadikika gari hiyo kabla ya kukodiwa ilikuwa imebeba mgonjwa ambaye alitokwa na damu nyingi..ambapo ikamsababishia kujisikia kichefu chefu na kuanza kutapika mfululizo
SOURCE: PRO 24 DJS