Lile sakata la madenti wa kidato cha kwanza kudai kuwa wamechakachuliwa madawati yao na maticha na yakapelekwa kutumika kidato cha sita kumbe halina ukweli wowote
Mkuu wa shule hiyo Bw. Isdori Ng'imba amekanusha habari hizo na kusema si za kweli na badala yake yanayotumiwa na kidato cha tano ni yao na yako tofauti na yale ya kidato cha kwanza
Uzushi mwingine Bwana