Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya basi la Arusha Express kugongana uso kwa uso na lori.
Ajali hiyo imetokea leo Jumapili Novemba 13, 2022 mchana eneo la Veyula Kata ya Makutupora mkoani Dodoma.
Angalia Video na picha za tukio hilo hapa chini:-







