Watoto waungua Moto kwenye banda la Kuku

Watoto wawili wamefariki kwa kuungua moto katika banda la kufugia kuku huku mwingine akijeruhiwa na moto huo ambao chanzo chake kikielezwa ni uchomaji takataka katika shimo la taka hizo.


Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa ametaja majina ya watoto hao waliofariki kuwa ni Meshack Kyando (7) na Angrey Mgimba (2) huku mtoto aliyejeruhiwa na moto huo akifahamika kwa jina la Anold Mgimba.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo