Mwalimu akiri Kumbaka Mwanafunzi, Asema alimpa funguo za Geto Kabisa

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mbagala kuu mkoani Dar Es Salaam anadaiwa kubakwa na Mwalimu wake mnamo mwezi Agosti mwaka huu wa 2022 huku Mwalimu huyo akimpatia binti huyo ufunguo wa makazi yake binafsi ili endapo akimuhitaji aweze kufika kwake kwa urahisi.


Baada ya kukamatwa na polisi kata na kuhojiwa mwalimu huyo Ally Said Kaule (26) alikiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti huyo na kwamba mipango yao ni kuja kuwa wanandoa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo