Siku ya maharusi wakifunga pingu za maisha huwa siku yenye bashasha na nderemo nyingi kusherekea wanapoingia maisha mengine.. Siku hii huwa yenye kupangwa ikapangika.
Ila kunayo harusi humo nchini Nigeria ambayo ilisherehekewa kwa vilio na majuto ya mjukuu, baada ya bibi harusi kuonekana akilia kwa nguvu huku wanawake wenzake wakijaribu kumliwaza.
Kizazaa hiki kilijiri kwenye barabara kuu na watu walipoulizwa kinachoendelea, bwana harusi alisema:Siku ya maharusi wakifunga pingu za maisha huwa siku yenye bashasha na nderemo nyingi kusherekea wanapoingia maisha mengine.. Siku hii huwa yenye kupangwa ikapangika.Ila kunayo harusi humo nchini Nigeria ambayo ilisherehekewa kwa vilio na majuto ya mjukuu, baada ya bibi harusi kuonekana akilia kwa nguvu huku wanawake wenzake wakijaribu kumliwaza.
Kizazaa hiki kilijili kwenye barabara kuu na watu walipoulizwa kinachoendelea, bwana harusi alisema:''Tafadhali dada yangu mwambie mumeo hadithi yako yote ya maisha'' mwingine alimshauri.