"Sijawahi kuona wanafanyia sebuleni" - Martha

Muimbaji wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam Martha Mwaipaja amefunguka na kusema kuwa katika dunia ya sasa watu wamekuwa wakifanya sana dhambi na kuzini ili hali wanatambua kuwa kufanya hivyo ni makosa lakini wamekuwa wakimsingizia shetani

Martha Mwaipaja amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV na kudaikwamba yeye amekuwa hawaelewi watu ambao wanafanya zinaa halafu wanasema wamepitia na shetani na kudai kuwa hilo jambo si kweli kwani wao wanapofanya hivyo wanakuwa wanatambua na kupanga kufanya tendo hilo ndiyo maana hawawezi kulifanya wakiwa sebuleni. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo