Hongera sana Kaka yangu Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy. Nakutakia heri nyingi katika majukumu utakayopangiwa huko Jeshini. Japo sina taaluma ya Jeshi, sina mashaka kuwa umestahili kupandishwa cheo kutoka Kanali na kuwa Brigedia Jenerali. Mwenyezi Mungu akusaidie na akuongoze. pic.twitter.com/TvpyiaF6re— Gerson Msigwa (@MsigwaGerson) April 12, 2018
Maneno ya Gerson Msigwa kwa aliyekuwa Mpambe wa Rais Magufuli
By
Edmo Online
at
Thursday, April 12, 2018
