Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi.

Rais Magufuli amemrudishia Prof. Costa Ricky Mahalu hadhi yake ya Ubalozi. Prof. Mahalu alisimamishwa kazi na kuvuliwa hadhi hiyo mwaka 2007 kufuatia kufunguliwa mashtaka ya jinai na Jamhuri, lakini mwaka 2012 mahakama ilimkuta hana hatia.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo