Steve amesema hayo alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha eNewz na kudai kuwa kwa sasa anasumbuliwa zaidi na miguu na kama kuna watu wamemtumia uchawi basi anawaomba msamaha wamsamehe ili aweze kupona.
"Wamesema nina UKIMWI"- Steve Nyerere
By
Edmo Online
at
Friday, January 12, 2018