Takataka ni kitu ambacho huna matumizi nacho kwa wakati huo, na watu wengi wanaoondoka @ChademaMedia ni wale ambao tulishamaliza matumizi nao, kwahiyo ni takataka tu – Meya wa Ubungo, Boniface Jacob (CHADEMA) pic.twitter.com/UWWsFfH1EH— AzamTV (@azamtvtz) January 11, 2018
Meya: Wanaoondoka Chadema ni wale ambao tulishamaliza matumizi nao, kwahiyo ni takataka tu
By
Edmo Online
at
Thursday, January 11, 2018
