Magufuli : Leo hii Tanzania ina akiba ya fedha ambazo zinaweza kutufanya kukaa miezi mitano bila kufanya kazi yoyote na bado tukaendelea kuishi bila tatizo, ila hii haina maana kuwa watu msifanye kazi #MkutanoMkuuCCM— East Africa Radio (@earadiofm) December 18, 2017
Magufuli: Tanzania ina akiba ya fedha zinaweza kutufanya kukaa miezi mitano bila kufanya kazi yoyote
By
Edmo Online
at
Monday, December 18, 2017