skip to main |
skip to sidebar
CHADEMA yataka bei ya ukumbi Ikulu
Chama cha Demakrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka serikali kuweka wazi utaratibu unaosemwa ulifuatwa na CCM kufanya mkutano wao wa chama Ikulu jijini Dar es salaam, ili kila mmoja ajue iwapo atahitaji kwenda kufanya mkutano hapo
Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje- CHADEMA bwana John Mrema, amesema kama ukumbi wa Ikulu unaruhusiwa kufanyika mkutano na mtu yeyote, basi waweke wazi utaratibu na bei ili wengine nao wakiwa na vikao vyao wasisite kwenda ili kuongeza pato la taifa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi