Humphrey Polepole Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi chama cha Mapinduzi amesema kesho atazungumza na waandishi wa habari ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam
Kupitia ukurasa wake wa twitter Polepole ametoa taarifa hiyo kama inavyoonekana hapa chini
Ijumaa tarehe 25 Agosti saa 8:00 Mchana nitazungumza na Waandishi wa Habari. Ukumbi wa CCM (OND) Lumumba— Humphrey Polepole (@hpolepole) August 24, 2017