Mimi nimekaa Ulaya, kule watoto wao hawapati mimba, lakini wanataka sisi tupate mimba ili tushindwe kusoma na kuja kuitawala dunia- JPM pic.twitter.com/YLU3qiOTXr— Swahili Times (@swahilitimes) July 4, 2017
Mimi nimekusanya kodi za watanzania, nimekupeleka shule bure, bado ukapate mimba bure urudi shule, hapana. Fuata kilichokupeleka shule- JPM pic.twitter.com/qPqiLKTUaV— Swahili Times (@swahilitimes) July 4, 2017