Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mbunge Tundu Lissu, ameandika kuhusu Ripoti ya pili ya uchunguzi wa mchanga wa madini hii leo:-
Hatimaye Sheria ya Madini itapelekwa Bungeni kwa amendment na Rais amekubali mikataba yote itakua inapita Bungeni kabla ya Kusainiwa. 1/2— Tundu Antiphas Lissu (@TunduLissu) June 12, 2017
