
Katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii Instagram na Twitter, watu maarufu hapa nchini wameoneshwa kuguswa na Msiba wa wanafunzi na walimu wao bila kumsahau dereva wa basi uliotokea huko Karatu mkoani Arusha
Wengi wameandika maneno mbalimbali, angalia hapa chini:-



























