Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kupata naye chakula cha jioni kwa mwaliko wake, maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), walilikamata basi wanalotumia na kuwashusha njiani.
Viongozi wa Serengeti Boys walilazimika kutafuta basi jingine kuitikia mwaliko wa Mama Samia
Afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas amezungumzia ishu hiyo, kutokana na taarifa hizo kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii..bonyeza play hapo chini umsikilize