Kile kikao cha Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kilichokutana jijini Dar Es Salaam Kujadili suala ya Timu ya Kagera Sugar Kupokonywa point 3 na kupewa Simba Sports Club kimeahirishwa usiku wa leo
Taarifa iliyotolewa na mwandishi wa Azam TV Philip Cyprian imesema kwamba kikao hicho kimeahirishwa mpaka kessho ambapo kinatarajiwa kutoa maamuzi yake
Sikiliza sauti hii hapa Chini Ikieleza kwa kina:-
