CCM yakanusha Kinana Kuzungumza na waandishi wa Habari

Tumekuwa tunapokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari, na pia kuna wengine wamefika mpaka ofisini, kuuliza au kuja kuhudhuria kikao baina yao na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana, asubuhi hii.

Napenda kuwafahamisha kwamba hata sisi wenyewe tumesoma tu tangazo hilo kwenye moja kati ya post za humu, hivyo naomba msihangaike nalo kwa sababu ni uzushi.

Katibu Mkuu mwenyewe yupo safarini nje ya nchi karibu wiki nzima hii.

Nawasilisha kwenu kwa taarifa sahihi.

Charles Charles
Idara ya Itikadi na Uenezi

Tarehe 24 Machi, 2017

Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo. Asante


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo