Breaking News: Rais Magufuli afanya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Nape "atumbuliwa"

Rais John Magufuli afanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri, amteua Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo. Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Nape Nnauye.

-Pia amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwa waziri wa Katiba na sheria.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo