Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania mkazi wa Dar es salaam anayejulikana kwa jina la Athuman Bakari Mchambua ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi.
Alichukua maamuzi hayo baada ya kufiwa na mke wake.
Amesema hawezi kutumia njia nyingine yoyote isipokua udahili ama mahojiano kumpata mke.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi