Maadhimisho ya Kitaifa ya Walemavu Yafutwa


Serikali imebatilisha uamuzi wake wa kufanya maadhimisho ya Siku ya Walemavu Kitaifa Jijini Dar es Salaam na kutoa agizo kwa wakuu wa mikoa yote nchini kufanya maadhimisho hayo katika mikoa yao.

Tamko hilo la serikali limetolewa Mjini DODOMA na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI George Simbachawene na kusisitiza kuwa viongozi wa mikoa na wilaya kusaidia viongozi wa vyama vya walemavu kufanikisha maadhimisho hayo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo