Ajali yatokea Kimaajabu Mkoani Mbeya..Yahusisha magari matatu kwa pamoja

Ajali ya barabarani imetokea jana asubuhi eneo la Igurusi mkoani Mbeya ikiwa imehusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo na gari jingine dogo.Basi hilo la abiria hufanya safari zake kati ta Tunduma na Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi bado halijatoa taarifa kuhusu chanzo cha ajali hiyo na kama kuna watu waliofariki  kutokana na ajal hiyo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo