Rais Magufuli leo ametengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TRA, Bernard Mchomvu na kuivunja Bodi hiyo.
- Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi hiyo kutangazwa baadaye.
Angalia taarifa hii hapa chini kutoka Ikulu
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi