Mwenyekiti wa wafanyabishara Mkoa wa Mbeya, Charles Syonga akizungumza na wafanyabishara wa soko la Sido jijini Mbeya Juu ya azma yao ya kufunga maduka siku ya Oktoba 27 mwaka huu,ili kujua hatma yao baada ya Halmashauri ya jiji kurasimisha kituo cha daladala kabwe kugezwa soko hivyo kuadhiri baiashara zao (PICHA NA KENNETH NGELESI)
Wafanyabiashara SIDO Watangaza Kufunga Maduka Oktoba 27
By
Edmo Online
at
Wednesday, October 26, 2016